Kolonia Santita

EBOOK
Tooltip

Laana Ya Panthera Tigrisi

  • bol.com Kobo LeesappLees ebooks direct op onze Kobo e-readers. Of op je smartphone of tablet met onze gratis ebook app.

Auteur: Enock Maregesi
Uitgever: Authorhouse Uk
  • Engelstalig
  • 9781477222973
  • september 2012
  • ePub met kopieerbeveiliging (DRM) van Adobe
Alle productspecificaties

Samenvatting

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya na kung oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi na duniani kwa jumla.
Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani."

Productspecificaties

Auteur
Enock Maregesi
Taal
Engels
Formaat Tooltip
ePub met kopieerbeveiliging (DRM) van Adobe
Bestandsgrootte
4.98 MB
Geschikt voor
0 - 2 jaar
Verschijningsdatum
september 2012
ISBN13
9781477222973

Je vindt dit boek in

Categorieën
Verschijningsjaar
2012
Uitvoering
Ebook

Reviews Kolonia Santita

Zeer goed Goed Gemiddeld Onvoldoende Slecht

Voor dit artikel zijn er nog geen reviews geschreven. Schrijf nu zelf de eerste review.

10,88
Direct beschikbaar
Verkoop door bol.com
  • Start direct met lezen
  • Digitaal lezen is voordelig
  • Dag en nacht klantenservice
  • Veilig betalen

Vragen en antwoorden

Over dit artikel zijn nog geen vragen gesteld.